Newsflash

Welcome - To change the Language into English click on the top right corner where it says, "swahili" and choose "English".   
  

Karibu Afya Helpline. Tovuti hii ni ya lugha mbili hivyo unaweza kuisoma kwa Kiswahili au Kiingereza.  Tunatambua umuhimu wa lugha zote hizi kwa wageni wetu ambao miongoni mwao wapo Watanzania toka Vijijini na Mijini, Maafisa wa Serikali, Wataalam toka sehemu zote za dunia, marafiki toka nje wanaojitolea bila malipo (Volunteers) na wote wanaoitakia mema Tanzania na Muungano wa Afrika Mashariki.  Tunajitahidi kubeba habari ambazo zitakuwa na maana kwenye Jumuiya yetu kwenye nyanja za afya bila kusahau uhitaji wa kupumzika na kuwa na michezo, utani (jokes), majadiliano, kadi za salaam, majadiliano kwa kura (polls) na ushauri juu ya vyakula vya Kiafrika na vyakula toka sehemu mbalimbali za dunia.

 

Tunatumaini mtafurahia hii tovuti na utakua mgeni wetu mara kwa mara.  Tovuti hii inategemea zaidi Ushiriki wako ili iweze kukua na kutunufaisha. Tunahitaji ushiriki kwenye majadiliano yetu (forums), uliza maswali mazuri yahusuyo afya ambayo yatajibiwa na Madaktari na Wataalam katika Taaluma ya Afya.

 

Login Form






Umesahau neno la siri?
Si Mwanachama? Jiandikishe

Syndicate

powered_by.png, 1 kB

Home
Karibu
Imeandikwa na Masika   
Sunday, 11 May 2008

Welcome - To change the Language into English click on the top right corner where it says, "swahili" and choose "English".   
  

ImageKaribu Afya Helpline. Tovuti hii ni ya lugha mbili hivyo unaweza kuisoma kwa Kiswahili au Kiingereza.  Tunatambua umuhimu wa lugha zote hizi kwa wageni wetu ambao miongoni mwao wapo Watanzania toka Vijijini na Mijini, Maafisa wa Serikali, Wataalam toka sehemu zote za dunia, marafiki toka nje wanaojitolea bila malipo (Volunteers) na wote wanaoitakia mema Tanzania na Muungano wa Afrika Mashariki.  Tunajitahidi kubeba habari ambazo zitakuwa na maana kwenye Jumuiya yetu kwenye nyanja za afya bila kusahau uhitaji wa kupumzika na kuwa na michezo, utani (jokes), majadiliano, kadi za salaam, majadiliano kwa kura (polls) na ushauri juu ya vyakula vya Kiafrika na vyakula toka sehemu mbalimbali za dunia. Image

 

Tunatumaini mtafurahia hii tovuti na utakua mgeni wetu mara kwa mara.  Tovuti hii inategemea zaidi Ushiriki wako ili iweze kukua na kutunufaisha. Tunahitaji ushiriki kwenye majadiliano yetu (forums), uliza maswali mazuri yahusuyo afya ambayo yatajibiwa na Madaktari na Wataalam katika Taaluma ya Afya.

Siku iliyoongezwa ( Saturday, 28 June 2008 )
 
Kadi za Internet
Imeandikwa na Masika   
Sunday, 11 May 2008

Kumbuka familia yako, marafiki na jamaa yako kwa kuwatumia

Image
Tons of Cards
kadi nzuri za Elektronic toka katika picha nzuri za chaguo lako.

Ukweli halisi kwa habari ya e-cards unadhihirika wenyewe unapoanza kuelezea jinsi unavyojisikia kuhusu watu wengine. Uzuri kuhusu Elektronic kadi ni kwamba inakulazimisha kuelezea jinsi unavyojisikia lakini hutoi habari.   Usiache siku ikapita bila kusema ahasante, hongera kuwa mzima haraka au kwa urahisi Hallo! Unaweza ukafanya hivyo kwa kubofya e-card kwenye listi (menu) kushoto au bofya hapa kutuma kadi.

Siku iliyoongezwa ( Sunday, 11 May 2008 )
 
Afya Bora
Imeandikwa na Masika   
Sunday, 11 May 2008

PATA CHANGAMOTO KWA AFYA NZURI.
Mabadiliko ya maisha yanaweza kuleta tofauti kubwa kuanzia kupoteza uzito mpaka ugonjwa wa Imagemoyo. Lakini ni mara ngapi umeweza kutimiza lengo lako.

Tunaangalia njia za kutunza afya, iwe ni kwa kupunguza uzito au kufanya mazoezi zaidi.  Changamoto ni muhimu kama unataka kufanikiwa. Mara nyingi tuna uvivu, lakini wanaofanikiwa ni wale waliojiwekea mikakati ya kushinda nyakati zao za uvivu. Jifunze kukubali unapojisikia huna motisha ili

Siku iliyoongezwa ( Friday, 23 May 2008 )
Endelea kusoma...
 

Polls

Who's Online

Kuna 12 wageni online